1717; Nguvu Zisizolengwa Eneo Moja…

By | September 13, 2019
Jua linawaka na kutawanya nguvu zake kwenye eneo kubwa. Nguvu hiyo inatupatia mwanga wenye manufaa makubwa kwenye maisha yetu. Mwanga huo wa jua unapokusanywa na kuelekezwa eneo moja, unatoa nguvu kubwa yenye uwezo wa kuchoma na kuunguza kitu na hata kuzalisha umeme pia. Nguvu ni ile ile ya mwanga, lakini

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In