1719; Utumwa Kama Zao La Upumbavu…

By | September 15, 2019
Uhuru na utumwa unaendana na werevu na upumbavu. Ukiwa mwerevu ni rahisi sana kuwa huru, ukiwa mpumbavu lazima uwe mtumwa. Tofauti ya mwerevu na mpumbavu inayozalisha uhuru au utumwa ni hii; Mwerevu hakuna chochote anachokitaka, bali anafurahia kila anachokipata na kukitumia vizuri. Hakuna kitu chochote ambacho mwerevu anaweza kusema hawezi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In