1790; Tafuta Wateja Bora…

By | November 25, 2019
Kuna hatua moja ambayo inaweza kuibadili biashara yoyote ile. Hatua hiyo ni kuongeza wateja zaidi kwenye biashara hiyo. Kila biashara ina ukomo wake kwenye wateja, kuna watu ambao wangeweza kunufaika na biashara hiyo, lakini hawajui uwepo wa biashara hiyo. Hivyo kama biashara itawekeza kwenye masoko, ikaweza kuwafikia wateja wengi zaidi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In