1999; Hushtuki Tu…

By | June 21, 2020
Ulipata kazi ya kwanza, ikawa hailipi vizuri, ukaicha. Ukapata nyingine, bosi akawa anakunyanyasa, ukaiacha pia. Ukapata nyingine, hiyo ukawa huelewi na wafanyakazi wengine, nayo ukaiacha pia. Na bado unalalamika kwamba hupati kazi nzuri. Hushtuki tu? Umepata mwenza wa kwanza, tabia mkawa hamuendani, mkaachana, ukapata wa pili, tena mkashindwa kuelewana, ukapata

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In