MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; JIWEKEE VIWANGO VYAKO NA PAMBANA NAVYO.
Simba hata awe na njaa kiasi gani, huwa hawindi panya au wanyama wengine wadogo wadogo. Badala yake anapambana mpaka apate kitoweo sahihi kwake, ambacho ni mnyama mkubwa. Moja ya kikwazo cha mafanikio kwa wengi ni kushindwa kujiwekea viwango vya juu na kupambana kuvifikia. Kama unahangaika na kila kitu, hasa vitu