2287; Katili isiyo katili…

By | April 5, 2021
2287; Katili isiyo katili… Ukimuomba mtu kitu halafu akakataa, haijalishi amekupa sababu gani, unajisikia vibaya. Maana mpaka unachagua kumuomba, ulijua kabisa ipo ndani ya uwezo wake. Hivyo anapokataa inakufanya ufikirie mengi, labda hakupendi, hajali, ana roho mbaya na mengine. Lakini kama wewe ni mkulima ambaye umepanda mazao yako na ukaomba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In