ONGEA NA KOCHA; Kisima Ni Jeshi, Amri 21 Za Maisha na Godfrey Mbise.

By | November 22, 2021
Habari Mwanamafanikio? Karibu usikilize kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo kwa juma hili kuna mambo makubwa matatu. Moja ni mafanikio ni vita, KISIMA CHA MAARIFA ni jeshi na wewe ni mwanajeshi kwenye hii vita. Hapa utajifunza kwa ufupi sifa za wanajeshi wa Sparta na mambo muhimu ya kuzingatia kwenye jeshi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In