#SheriaYaLeo (151/366); Kila mtu anataka mamlaka zaidi.

By | March 31, 2022
#SheriaYaLeo (151/366); Kila mtu anataka mamlaka zaidi. Watu huwa wanafanya yale wanayofanya ili kupata mamlaka zaidi. Ipo kauli kwamba mamlaka huwa yanawaharibu watu. Lakini kinyume chake pia ni kweli. Kukosa mamlaka kunawaharibu watu pia. Hakuna anayeweza kuvumilia hali ya kutokuwa na mamlaka. Hivyo mtu hufanya lolote ili tu kupata mamlaka.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In