#SheriaYaLeo (158/366); Igiza nafasi yako vizuri.

By | April 7, 2022
#SheriaYaLeo (158/366); Igiza nafasi yako vizuri. Maisha ni maigizo, kile ambacho watu wanaonyesha kwa nje, sivyo walivyo ndani yao. Hivyo moja ya wajibu wako mkubwa kwenye maisha ni kuigiza nafasi yako vizuri. Hasa kwenye eneo la hisia, lazima uweze kuvaa hisia sahihi kwa wakati sahihi. Pale unapohitajika kuwa na hisia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In