#SheriaYaLeo (161/366); Wafanye watu wajisikie wako juu.

By | April 10, 2022
#SheriaYaLeo (161/366); Wafanye watu wajisikie wako juu. Watu wanapenda sifa na kutukuzwa, wanapenda kuona wapo juu na wengine wanawategemea kwa mambo mbalimbali. Pale unapotaka kitu kutoka kwa watu, hasa wale wenye mamlaka, wafanye wajione wako juu. Wafanye waone upo chini yao na unawategemea sana kwa kile unachotaka. Hilo linawafanya wajione

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In