#SheriaYaLeo (185/366); Usijiangalie mwenyewe, waangalie wengine.

By | May 4, 2022
#SheriaYaLeo (185/366); Usijiangalie mwenyewe, waangalie wengine. Wanaotaka kushawishi wengine huwa hawajiangalii wao wenyewe, bali huwa wanawaangalia zaidi wengine. Hawajiangalii zaidi ndani yao, bali wanaangalia zaidi nje. Hiyo ni kwa sababu kubwa mbili; Moja ni kujiangalia mwenyewe badala ya wengine ni dalili za kutokujiamini. Na pale unapokuwa hujiamini huwezi kuwa na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz