2686; Maelezo ni yale yale.

By | May 9, 2022
2686; Maelezo ni yale yale. Kila unapopanda ndege, maelezo ya usalama ni yale yale. Wahudumu wanarudia kutoa maelezo ya usalama ya hatua za kuchukua inapotokea dharura. Hata kama kila mtu kwenye ndege tayari anajua maelezo hayo, bado ataendelea kuyatoa. Hata kama hakuna anayesikiliza wakati anatoa maelezo hayo, bado ataendelea kuyatoa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In