2691; Umefika mpaka hapo, unaweza kufika mbali zaidi.

By | May 14, 2022
2691; Umefika mpaka hapo, unaweza kufika mbali zaidi. Unapokuwa utajifunza mambo mapya, ni rahisi kuona kama umechelewa sana. Unaweza kujiambia kama ungeyajua hayo mapema basi ungekuwa mbali zaidi. Hali hiyo inaweza kufanya uone huna cha kufanya kwa sasa, kwa sababu umeshapoteza sana. Ni hali inayoweza kukukatisha tamaa. Lakini hivyo sivyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz