2716; Nataka nikuoe/unioe.

By | June 8, 2022
2716; Nataka nikuoe/unioe. Pata picha, umekutana na mtu mahali kwa mara ya kwanza, humjui hakujui na hapo hapo akakuambia anataka akuoe/umuoe. Ni jambo ambalo litakushtua na kukushangaza. Iweje mtu akutake ufanye maamuzi makubwa hivyo wakati hata bado hamjajuana? Maamuzi ya kuoa/kuolewa na mtu huwa yanajengeka taratibu baada ya watu kuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz