#SheriaYaLeo (232/366); Wape ushindi kwenye mambo madogo.

By | June 20, 2022
#SheriaYaLeo (232/366); Wape ushindi kwenye mambo madogo. Kama unataka kuwashawishi watu wakubaliane na wewe kwenye jambo kubwa unalotaka, wape kwanza ushindi kwenye mambo madogo. Angalia mambo madogo ambayo hayana athari kwenye lile kubwa unalotaka, kisha kubaliana nao kwenye mambo hayo. Katika kukubaliana nao kwenye mambo hayo madogo unakuwa umewaweka kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz