2751; Kujua, kuweza na kufanya.

By | July 13, 2022
2751; Kujua, kuweza na kufanya. Kama leo hii, utaacha kabisa kujifunza vitu vipya, yaani usijifunze chochote kipya, ila ukafanyia kazi yale ambayo tayari unayajua, bado utapata mafanikio makubwa sana. Kwa mfano ukaweka juhudi kubwa kwenye kazi/biashara yako kila mara. Ukawa na matumizi madogo kuliko kipato chako na hivyo kuweka akiba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In