2760; Mipango haifanyiki uwanjani.

By | July 22, 2022
2760; Mipango haifanyiki uwanjani. Hebu fikiria timu ya mpira imeingia uwanjani kwa ajili ya mchezo wa fainali. Wakati mashabiki wanaishangilia timu hiyo na kutegemea makubwa, kocha ndiyo anawakusanya wachezaji na kuwauliza tutumie mbinu gani kushinda? Unajua kabisa timu ya aina hiyo itakuwa kwenye matatizo makubwa. Kwani wakati wa mapambano siyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz