2772; Uzuri wa ukweli.

By | August 3, 2022
2772; Uzuri wa ukweli. Uzuri wa kusema ukweli ni kwamba huhitaji kuweka kumbukumbu yoyote ile kwenye yale unayoongea. Kwa sababu ukweli hubaki hivyo daima, huhitaji kujiuliza mara mbili mbili kabla ya kusema kitu. Unaposema uongo inabidi uwe na kumbukumbu nzuri ili kukumbuka yote ambayo umeshayadanganya kuepuka kusema kitu cha tofauti.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In