2857; Tawala hisia zako.

By | October 27, 2022
2857; Tawala hisia zako. Sisi binadamu ni viumbe wa kihisia. Huwa tunafanya maamuzi yetu kwa hisia, kisha tunayahalisha kwa mantiki. Tatizo la hisia huwa hazina msimamo, ni kitu cha kupita kama mawimbi. Pia hisia zinaathiriwa na mambo mbalimbali. Ukiwa mtu unayetawaliwa na hisia, hutaweza kufanya chochote kikubwa kwenye maisha yako.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz