2861; Nguvu kubwa kuliko wewe.

By | October 31, 2022
2861; Nguvu kubwa kuliko wewe. Ipo nguvu kubwa kuliko wewe ambayo inauendesha huu ulimwengu. Bado hatuielewi vizuri nguvu hii, hivyi tumekuwa tunaipa majina mbalimbali. Wapo wanaoiita Mungu, wengine wanaiita Asili na mengine. Lakini wote tunakubaliana kwamba ipo nguvu kubwa inayofanya ulimwengu mzima uende unavyoenda. Kuchomoza na kuzama kwa jua, kuonekana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In