3061; Kuaminiana.

By | May 19, 2023
3061; Kuaminiana.Rafiki yangu mpendwa,Dunia inaendeshwa kwa msingi mkuu wa kuaminiana.Bila ya kuaminiana, dunia haiwezi kwenda.Tunaweza kufanya yote tunayoyafanya kwenye maisha, kwa sababu tunaweza kuwaamini wengine bila hata ya sababu yoyote.Tunakuwa tayari kuyaweka maisha yetu kwenye hatari kubwa kwa kuwaamini wengine kwamba watafanya kile kilicho sahihi.Fikiria unaenda kwa daktari, ambaye humjui

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz