3145; Ni wewe.

By | August 11, 2023
3145; Ni wewe.Rafiki yangu mpendwa,Huwa kuna usemi maarufu kwenye tasnia ya mafunzo ya maendeleo binafsi kwamba kama unataka kumwona mtu anayekuzuia wewe kufanikiwa basi simama mbele ya kioo.Ikimaanisha kwamba wewe ndiye kikwazo cha kwanza kwako kufanikiwa.Hicho ni kitu ambacho watu wengi wanakichukulia poa sana. Wengi wakiwa hawakiamini kweli na hilo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz