3246; Ushindi unaotaka.

By | November 20, 2023
3246; Ushindi unaotaka. Rafiki yangu mpendwa,Ushindi wowote unaoutaka kwenye maisha yako, unawezekana kama tu utaacha kuwa na mashaka na kukataa kushindwa.Hivyo ndivyo vitu viwili ambavyo vimekuwa vinawakwamisha watu wengi kupata ushindi. Mashaka hayapaswi kupewa nafasi kama mtu unataka kupata ushindi mkubwa.Ukishakuwa tu na mashaka, unakuwa umeshikilia breki na hivyo huwezi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz