3247; Kama ungeanza upya.

By | November 21, 2023
3247; Kama ungeanza upya.Rafiki yangu mpendwa,Moja ya vikwazo vinavyowazuia watu kufanikiwa ni mwili na roho kutokuwa sehemu moja.Unakuta kile ambacho mtu anafanya na kile ambacho angependa kufanya ni tofauti kabisa.Mtu anakuwa anafanya kitu ambacho kama angekuwa anaanza upya kufanya, asingekifanya.Kinachomfanya aendelee kuwa kwenye kitu hicho ni kwa sababu ameshazoea na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz