2515; Maswali yanayoulizwa mara kwa mara.
2515; Maswali yanayoulizwa mara kwa mara. Kwa shughuli yoyote unayofanya, iwe ni kazi au biashara, kuna maswali ambayo wale unaowahudumia huwa wanayauliza mara kwa mara. Kwa kiingereza huwa wanaita FAQ (Frequently Asked Questions). Haya ni maswali yanayoweza kukukera na kuona kwa nini watu hawaelewi vitu vidogo na vya kawaida kiasi (more…)
