1744; Ni Haki Yako, Lakini Uhai Ni Muhimu Zaidi…
Chukua mfano uko barabarani, eneo la wavuka kwa miguu, hilo ni eneo kabisa ambalo limetengwa kwa ajili ya wanaotembea kwa miguu. Taa imewaka kuwaruhusu wanaotembea kwa miguu wavuke, na hivyo magari yasimame. Wewe unaanza kuvuka, ghafla inakuja gari na haisimami kama inavyopaswa, inaendelea kuja. Je hapo unafanya nini? Utaendelea kuvuka (more…)
