1714; Kinachokukwamisha Kina Manufaa Kwako…
Huwa tunaweka malengo na mipango yetu ya mafanikio kutoa A mpaka Z. Na tunataka mipango hiyo iende kama tunavyopanga, kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Lakini tunajua vyema ya kwamba hakuna mtu yeyote ambaye amewahi kuwa na njia ya mafanikio ya aina hiyo. Kila mtu anakutana na vikwazo na changamoto nyingi kabla (more…)
