1719; Utumwa Kama Zao La Upumbavu…
Uhuru na utumwa unaendana na werevu na upumbavu. Ukiwa mwerevu ni rahisi sana kuwa huru, ukiwa mpumbavu lazima uwe mtumwa. Tofauti ya mwerevu na mpumbavu inayozalisha uhuru au utumwa ni hii; Mwerevu hakuna chochote anachokitaka, bali anafurahia kila anachokipata na kukitumia vizuri. Hakuna kitu chochote ambacho mwerevu anaweza kusema hawezi (more…)
