1652; Ukweli Hauna Huruma…
Katika safari yako ya maisha ya mafanikio, mara zote kazana kukaa upande wa ukweli. Kwa sababu ukweli huwa hauna huruma. Wote tunajua ya kwamba ukweli una umiza. Na wengi tunapenda kutafuta njia za kuondokana na maumivu ya ukweli. Lakini mara zote ukweli huwa hauachi kuwa ukweli, unaendelea kuwa ukweli bila (more…)
