Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1642; Tabia Hii Moja Inaharibu Sana Mahusiano Yako…

By | June 30, 2019

Mahusiano ndiyo jina la mchezo, mahusiano ni kiungo muhimu sana kwenye mafanikio yako. Kuanzia kwenye familia, kazi na hata biashara. Mafanikio yako yanategemea sana ubora wa mahusiano yako. Nimekuwa nakuambia kwamba kujenga mahusiano kunahitaji vitu viwili vikubwa, muda na kujali. Lazima uweke muda kwenye mahusiano kama unataka yakue. Na muhimu (more…)

1641; Mipango Ni Mizuri, Lakini…

By | June 29, 2019

Ili ufanikiwe unahitaji mipango, lakini mipango siyo inayoleta mafanikio. Mipango ni sehemu ndogo sana ya mafanikio yako. Sehemu kubwa ya mafanikio inatokana na hatua ambazo unachukua kwenye mipango uliyojiwekea. Haijalishi una mipango mingi kiasi gani, kama huchukui hatua huwezi kufanikiwa. Watu wengi sana wamekuwa wanakwama kwenye mipango. Wanaweka mipango mikubwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HUNA SABABU…

By | June 29, 2019

“It is possible to curb your arrogance, to overcome pleasure and pain, to rise above your ambition, and to not be angry with stupid and ungrateful people—yes, even to care for them.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 8.8 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ambayo tumeiona leo. Ni jambo (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUISHI FALSAFA SIYO KUJITESA…

By | June 28, 2019

“Philosophy calls for simple living, but not for penance—it’s quite possible to be simple without being crude.” —SENECA, MORAL LETTERS, 5.5 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ambayo tumeiona leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora (more…)