1659; Nenda Sehemu Yenye Msongamano Mdogo…
Eneo lolote lenye msongamano mdogo ndiyo eneo lenye fursa kubwa za mafanikio. Kuanzia kwenye kazi, biashara na mambo mengine ya maisha, kadiri watu wengi wanavyokuwa wanafanya kitu, ndivyo thamani ya kitu hicho inapungua. Nimekuwa nasema, kama unataka kufanikiwa lakini huna watu waliofanikiwa wa kujifunza kwao, basi angalia kile ambacho wengi (more…)
