1604; Sikia Ambacho Hakisemwi…
Huwa tunaamini sana watu kwa kile wanachotuambia, hata kama wanatudanganya. Tunaamini watu wanatuambia ukweli, hasa pale wanapojiamini katika kusema wanachotuambia. Na wale wenye nia ya kutudanganya, huwa wana mbinu za kutufanya tuamini wanachotuambia. Kama usipokuwa makini, ni rahisi sana kuingia kwenye kudanganywa au kutapeliwa na wengine. Njia pekee ya kujua (more…)
