Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1384; Mambo Matatu Yatakayokuwezesha Kufanya Maamuzi Bora Sana Kwenye Maisha Yako.

By | October 15, 2018

Moja ya changamoto kubwa kwenye zama tunazoishi sasa ni wingi wa maarifa na taarifa ambazo zinawafanya wengi washindwe kufanya maamuzi sahihi kwenye maisha yao. Kuna maarifa na taarifa nyingi ambazo zinakinzana na mtu anapofuatilia zote, anashindwa kujua afanye nini. Anaanza kubishana na yeye mwenyewe, anaanza  kuwa na wasiwasi juu yake, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; WAKATI SAHIHI WA KUCHIMBA KISIMA…

By | October 15, 2018

Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii mpya ya leo, Ni siku nyingine nzuri sana kwetu, ambapo tumepata nafasi ya kipekee ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA tunakwenda kufanya makubwa (more…)

1383; Epuka Sukari Hii Ya Akili, Inakufanya Uwe Mzembe…

By | October 14, 2018

Siku za nyuma, chakula ambacho kilikuwa kinaogopeka sana kiafya kilikuwa ni mafuta. Tafiti za kipindi hicho zilionesha mafuta yanasababisha magonjwa ya moyo kama presha ya kupanda na pia magonjwa kama kisukari. Hivyo mafuta yaliogopewa sana. Lakini kwa sasa, chakula kinachoogopeka zaidi ni sukari. Tafiti nyingi za sasa zinaonesha sukari inasababisha (more…)

#TAFAKARI YA LEO; NGUVU YA TONE LA MAJI…

By | October 14, 2018

“Dripping water hollows out stone, not through force but through persistence.” — Ovid Siku mpya, Siku bora Na siku ya kipekee sana kwetu. Ni bahati ya kipekee sana kwetu kuweza kuiona siku hii nyingine nzuri. Siyo kila mtu ameweza kuiona siku hii, hivyo tushukuru kwa nafasi hii. Pia tuitumie vizuri (more…)

1382; Zawadi Kubwa Kabisa Unayoweza Kuwapa Wengine Ni Hii…

By | October 13, 2018

Ipo zawadi moja kubwa sana unayoweza kumpa kila mtu kwenye maisha yako na akaifurahia sana. Kuanzia kujipa wewe binafsi, kuwapa watu wako wa karibu, kuwapa wateja wa biashara yako na hata kumpatia mwajiri wako. Kwa kuwapa watu zawadi hiyo moja, wanaweza kushirikiana na wewe vizuri na hilo likakuwezesha wewe kupata (more…)

1381; Njia Tano Za Kujua Kama Unaishi Wito Wako Kwenye Maisha Yako.

By | October 12, 2018

Kama unataka kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako, basi usifanye kazi. Hii ni kauli ambayo nimewahi kuitumia kama kicha cha habari cha makala huko nyuma, na mtu mmoja bila ya kusoma makala alinihukumu kwa kichwa hicho, akiniambia naanza kuwadanganya watu wasifanye kazi, kwamba najaribu kuwapa njia za mkato. Kama unanijua (more…)

#TAFAKARI YA LEO; FICHA HOFU, ONYESHA UJASIRI…

By | October 12, 2018

“Keep your fears to yourself, but share your courage with others.” ― Robert Louis Stevenson Rafiki, Ile siku ambayo uliipangilia kwa mambo mengi, Mengine mapya na mengine umeahirisha, Tayari imewadia. Hivyo leo, nenda kafanye yale uliyojiahidi utafanya, na chochote unachoweza kufanya leo, usikisogeze kesho. Kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA (more…)

1380; Vifaa Hivi Viwili Unavyopaswa Kuwa Navyo Muda Wote, Ndiyo Dawa Ya Hofu Na Kukata Tamaa…

By | October 11, 2018

Kuna vifaa viwili muhimu sana unapaswa kuwa navyo kila wakati wa maisha yako, yaani kila muda, unapaswa kuwa na vifaa hivi. Utembee navyo popote ulipo, unapolala viwe pembeni yako. Najua unafikiria kifaa kimoja ambacho ni kama umeshafunga nacho ndoa kwa sasa, maana huenda unakipenda kuliko vitu vingine, kifaa hicho ni (more…)

#TAFAKARI YA LEO; FANYA KILICHO BORA, ACHA KUSHINDANA…

By | October 11, 2018

“Ignore what other people are doing. Ignore what’s going on around you. There is no competition. There is no objective benchmark to hit. There is simply the best you can do — that’s all that matters.” -Ryan Holiday Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni (more…)