Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1389; Kama Unaweza Lakini Hufanyi, Ni Ubinafsi Na Hutaweza Kufanikiwa…

By | October 20, 2018

Ili ufanikiwe, unahitaji kufanya vitu tofauti na ulivyozoea kufanya, kwa namna tofauti na ulivyozoea, unahitaji kujituma na kujisukuma zaidi ya ulivyozoea. Wengi wanashindwa siyo kwa sababu hawawezi kufanya hayo, bali ni kwa sababu hawapo tayari kufanya. Hawapo tayari kujisukuma, hawapo tayari kuumia zaidi. Wengi wanakuwa wameridhika na kile ambacho tayari (more…)

#TAFAKARI YA LEO; DUNIA ITAKURUSHIA VITU…

By | October 20, 2018

Seneca said, “Things will get thrown at you and things will hit you. Life’s no soft affair.” Siku mpya, Siku bora na ya kipekee sana imeanza. Ni siku ambayo umekuwa unaisubiria kwa hamu, siku ambayo jana ulisema kesho nita…. Kesho ya jana ndiyo tayari imeshafika hivyo nenda kachukue hatua leo. (more…)

1388; Namba Hatari Sana Kwenye Maisha Yako…

By | October 19, 2018

Kuna namba moja hatari sana kwenye maisha yako, namba hii ni hatari kwa chochote kile unachofanya, ni namba unayopaswa kuijua na kuiepuka kwa namna yoyote ile. Namba hiyo ni namba moja. Namba moja, kwenye jambo lolote kwenye maisha ni namba hatari. Unapoweka mategemeo yako yote kwenye kitu kimoja, unajiweka kwenye (more…)

1387; Siku Unayoanza Kuanguka Ni Unapofikiri Umeshakuwa Bora…

By | October 18, 2018

Tunapokuwa tunaanza kufanya kitu, huwa tunakuwa ni watu wa kujifunza. Tunakuwa tunajua hatujui na hivyo kuweka juhudi katika kujifunza ili kuweza kufanya vizuri zaidi. Ni kiu hii ya kujifunza ndiyo inayotuwezesha kuwa bora zaidi, kuweza kufanya vizuri zaidi na kupata matokeo bora zaidi. Lakini kadiri tunavyokuwa bora, kadiri tunavyopata matokeo (more…)

1386; Maisha yako yanapotelea wapi?

By | October 17, 2018

Ukiwa mbali na msitu, unachokiona ni msitu, unaona miti ambayo imefunga kila eneo na hutaweza kuiona ardhi kwa wazi wazi. Lakini unapoigia ndani ya msitu, huwezi tena kuuona msitu, badala yake unaona mti mmoja mmoja, unaona ardhi na vitu vingine vidogo vidogo ambavyo kwa mbali havionekani. Hivi ndivyo maisha yetu (more…)

1385; Ili Kujijua, Unahitaji Kupitia Mateso Makali…

By | October 16, 2018

Huwezi kujua unaweza kwenda mbali kiasi gani, mpaka uende mbali zaidi ya ulivyozoea. Kadiri unavyokwenda mbali zaidi ya ulivyozoea, ndivyo unavyozidi kugundua kwamba unaweza kwenda mbali zaidi. Kama umeacha kwenda mbali zaidi, utaamini kwamba pale ulipofika ndiyo kikomo, lakini uhitaji unapokuja, utagundua ya kwamba unaweza kwenda mbali zaidi. Njia pekee (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KAMA HAIENDANI NA NDOTO ZAKO, NI USUMBUFU…

By | October 16, 2018

“I’m here to build something for the long term. Anything else is a distraction,” Facebook cofounder Mark Zuckerberg said when he declined Yahoo’s $1 billion offer to buy his social networking service in 2006. Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya (more…)