UKURASA WA 1260; Usikimbie Uhalisia Wa Maisha…
Maisha ni magumu, lakini ni magumu zaidi ukiwa mpumbavu, hii ni kauli ambayo imebeba ujumbe mzito sana pale unapoielewa vizuri. Wapo watu ambao wanateseka sana kwenye maisha, lakini ukiangalia sehemu kubwa ya mateso yao inatokana na wao kukimbia uhalisia wa maisha yao. Watu wanatengeneza maumivu zaidi kwenye maisha yao, wakijaribu (more…)
