Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 1201; Hata Kama Unakosea, Kuwa Na Uhakika…

By | April 15, 2018

Moja ya changamoto kubwa inayowazuia wengi kupiga hatua kwenye maisha, ni kutokuwa na uhakika. Mtu anataka kitu, lakini hana uhakika kama anakitaka kweli na kama atakipata. Hivyo anakuwa kama anabahatisha, anakuwa kama anajaribu. Kwa kuwa hana uhakika, kwa kuwa anabahatisha, haweki juhudi zote anazoweza kuweka, na hivyo matokeo anayopata ni (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KINACHOKUKASIRISHA SIYO KILICHOTOKEA….

By | April 15, 2018

“Whenever you are angry, be assured that it is not only a present evil, but that you have increased a habit” – Epictetus Habari za asubuhi mwanamafanikio? Hongera kwa nafasi hii nyingine nzuri sana ya leo, nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuishi kwa msingi wa mafanikio ambao ni NIDHAMU, UADILIFU (more…)

UKURASA WA 1200; Njia Ya Kuzikaribisha Fursa Zaidi Kuja Kwako…

By | April 14, 2018

Kuna watu hata mambo yawe magumu kiasi gani, kwa upande wao fursa ni nyingi kuliko wanavyoweza kuzifanyia kazi. Hata pale ambapo kila mtu analalamika, wao wanakuwa wapo bize kuchukua hatua kama vile hakuna kinachoendelea zaidi. Kwa nje ni rahisi kuona watu hao wana bahati au wanapendelewa, lakini unapochunguza kwa ndani, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KINYUME NA MAZOEA…

By | April 14, 2018

“Take the course opposite to custom and you will almost always do well.” -Jean-Jacques Rousseau Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU (more…)

UKURASA WA 1199; Njia Bora Ya Kuacha Kuhukumu Wengine Kabla Hata Hujajua…

By | April 13, 2018

Sisi binadamu ni majaji wazuri sana wa kuhukumu wengine kabla hata hatujapata taarifa kamili. Ni mara ngapi umekutana na mtu kwa mara ya kwanza, akawa labda siyo mtu wa kuongea sana na ukajiambia huyu mtu anaringa. Au umemsalimia mtu hakuitika japo wewe unaona amekusikia kabisa, na ukasema mtu huyo ana (more…)

UKURASA WA 1198; Huhitaji Kuwa Bora Mara Mbili Ya Wengine…

By | April 12, 2018

Kwenye mchezo wa riadha, kinachomtofautisha mshindi wa kwanza na mshindi wa mbili inaweza kuwa sekunde chache sana, lakini mshindi wa kwanza atapata zawadi kubwa sana ukilinganisha na mshindi wa pili. Tofauti ya sekunde chache kwenye ukimbiaji, inaleta tofauti mara mbili ya matokeo kwenye zawadi. Lakini ukiangalia, mshindi wa kwanza hajakimbia (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UKIFIKA KIWANGO HICHI, ELIMU YAKO IMEKAMILIKA…

By | April 12, 2018

“To accuse others for one’s own misfortunes is a sign of want of education. To accuse oneself shows that one’s education has begun. To accuse neither oneself nor others shows that one’s education is complete” – Epictetus Hongera mwanamafanikio kwa siku hii bora sana ya leo. Ni nafasi nzuri kwetu (more…)

UKURASA WA 1197; Akili Ya Anayeanza…

By | April 11, 2018

Kwenye jambo lolote lile, mtu anayeanza ni tofauti kabisa na mtu ambaye ameshazoea. Anayeanza, hasa ambaye anapenda kweli kile anachoanza, anakuwa na hamasa kubwa ya kupiga hatua kubwa. Anakuwa tayari kujifunza kwa sababu anajua mengi hajui. Anakuwa tayari kujituma kuliko ilivyo kawaida kwa sababu anaona nafasi za kupiga hatua zaidi. (more…)

#TAFAKARI YA LEO; JINSI UNAVYOKUWA MTUMWA WA WENGINE…

By | April 11, 2018

“Care about what other people think and you will always be their prisoner.”—Lao Tzu Hongera rafiki kwa asubuhi nyingine nzuri ya leo, Siku mpya ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU , UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa (more…)

UKURASA WA 1196; Hutafuti Ushauri, Unatafuta Wa Kukubaliana Na Wewe…

By | April 10, 2018

Yapo mambo mengi sana ambayo nimekuwa najifunza kupitia huduma ninayofanya, ya kutoa maarifa na hamasa ya watu kuchukua hatua na kuyafanya maisha yao kuwa bora zaidi. Katika watu wengi ambao wamekuwa wanaomba ushauri kwenye mambo mbalimbali, nimejifunza kwamba wengi huwa hawatafuti ushauri, badala yake wanatafuta mtu wa kukubaliana nao. Unakuta (more…)