UKURASA WA 1195; Sema Kidogo, Fanya Zaidi…
Kusema ni rahisi, kufanya ni kugumu, ndiyo maana kuna wasemaji wengi, washauri wengi na wakosoaji wengi kuliko wafanyaji. Kuahidi ni rahisi, kutekeleza ni kugumu, ndiyo maana ahadi ambazo hazijatekelezwa ni nyingi sana. Wapo watu ambao wanaanzisha biashara au huduma, wanaahidi makubwa, wanavutia wengi mwanzoni, lakini wanashindwa kutekeleza yale waliyoahidi, kinachotokea (more…)
