💥#TAFAKARI YA LEO; KAMWE USIJIWEKEE UKOMO…
MAKIRITA AMANI: Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Hii ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Msingi wetu wa mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kwenda kufanya makubwa leo na kila siku ya maisha yetu. Asubuhi ya (more…)
