UKURASA WA 974; Vitu Vidogo Vinapokosekana, Vinaharibu Sifa Na Ladha Nzima…
Kupika chakula chochote ni zoezi gumu, linalohitaji akili, nguvu na subira kuhakikisha unapata chakula kizuri kwa ajili ya kula. Zoezi la kuweka chumvi kwenye chakula ni rahisi, halihitaji nguvu na maarifa mengi kama ilivyo kwenye kupika. Lakini kazana kupika chakula chako vizuri mno na sahau kuweka chumvi, chakula kinakosa ladha. (more…)
