UKURASA WA 966; Kitu Pekee Unachomiliki Kwenye Maisha Yako, Unachopaswa Kukitunza Sana…
Kuna vitu vingi ambavyo unafikiri unamiliki kwenye maisha yako, kuanzia mali za kawaida, cheo ulichonacho, biashara uliyonayo, ajira uliyonayo na hata watu wanaokuunguka. Lakini ukweli ni kwamba, vingi unavyofikiria kwamba unavimiliki kwa kiasi kubwa, huna umiliki navyo. Mali zinapotea, ajira zinafikia ukomo, biashara zinakufa na hata watu wanakufa. Vitu vingi (more…)
