Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

Wastoa wa Roma.

By | March 18, 2017

  Wastoa wa roma ndiyo waliochangia sana ukuaji wa falsafa ya ustoa. Japo wapo wanafalsafa wengi wa roma, wanne wamekuwa na mchango mkubwa sana kwenye ukuaji wa falsafs hii. Wa kwanza alikuwa Seneca, huyu ni mstoa aliyetambulika kwa kuandika sana. Ndiye mstoa ambaye maandiko yake mengi yamepona mpaka sasa. Aliandika (more…)

Wastoa wa kwanza.

By | March 18, 2017

  Falsafa ya ustoa ilianzia nchini Ugiriki. Zeno aliyeishi miaka 333–261 kabla ya kuzaliwa kristo, ndiye baba wa ustoa. Alianza kuvutiwa na falsafa kupitia vitabu ambavyo baba yale alikuwa akimletea asome. Baadaye alienda maktaba kujifunza zaidi kuhusu falsafa na alitaka kujifunza kupitia Socrates. Hapo ndipo alipokutana na mwanafalsafa Crates ambaye (more…)

Falsafa na maisha ya watu.

By | March 18, 2017

  Kumekuwepo na mifumo mbalimbali ya falsafa tangu kuwepo kwa dunia. Kwa sababu mara zote watu wamekuwa wakihoji juu ya mambo mbalimbali, kama uwepo wa dunia na mengine. Falsafa ilikuwa ikichukuliwa kama kitu cha kufikiria na kubishana pekee. Mpaka wakati wa mwanafalsafa Socrates, ambaye hakuishia tu kufikiri na kuhoji, bali (more…)

Utangulizi Wa Kitabu Cha Ustoa; A GUIDE TO GOOD LIFE.

By | March 18, 2017

Mambo muhimu niliyojifunza kwenye utangulizi wa kitabu A GUIDE TO GOOD LIFE. Hichi ni kitabu kilichoandikwa na mwandishi na mwanafalsafa Willium ambaye alikuwa akitafiti kuhusu Tamaa. Baada ya kuangalia dini zinasemaje kuhus tamaa, hakupata maarifa ya kutosha, ndipo alipogeukia falsafa na kukutana na falsafa ya ustoa, ambayo imeelezea kwa kina (more…)

Uwekezaji Kwenye Soko La Hisa na Hisa Za Vodacom

By | March 18, 2017

Makirita Amani: Habari rafiki? Karibu kwenye darasa letu la jumapili. Jumapili ya leo tunakwenda kujadili kuhusu uwekezaji wa hisa, na fursa ya hisa za vodacom. Nitafungua kwa ufupi kuhusu uwekezaji wa hisa, na baadaye nitafungua mjadala kwetu sote, kwa mwenye cha kuongeza, maswali na hata majibu. Uwekezaji kwenye hisa ni (more…)

UKURASA WA 808; Kukamua Sana…

By | March 18, 2017

Ukikamua chungwa linatoa juisi tamu, ambayo ukiinywa unafurahia. Lakini ukikamua sana chungwa, linaacha kutoa juisi tamu na badala yake linatoa maji machungu. Ukimkamua ng’ombe unapata maziwa, ambayo unaweza kunywa au kutumia kwa aina nyingine kama chakula. Lakini ukimkamua ng’ombe sana, anaacha kutoa maziwa na badala yake anatoa damu. Hata wewe (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; HEDONIC ADAPTATION…

By | March 18, 2017

Hongera rafiki kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora kabisa. Tutumie siku hii nzuri ya leo vizuri ili tuweze kufanya makubwa. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu HEDONIC ADAPTATION… Ni (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; ACHA KUJIFICHA…

By | March 17, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa na kupata matokeo makubwa zaidi. Mwongozo wetu wa leo na kila siku ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu kujificha. Kwenye hii (more…)

UKURASA WA 807; Vitu Viwili Muhimu Vya Kufanya Kwenye Masoko….

By | March 17, 2017

Kuwa na biashara pekee haitoshi, ni lazima uweze kumfikia mteja wako, na yule ambaye anafaa kuwa mteja wako ajue juu ya uwepo wako. Huu ndiyo umuhimu wa masoko kwenye biashara. Lakini linapokuja swala la masoko, wengi wanafikiria kitu kimoja pekee, kutangaza. Na wanakazana kupata maeneo mazuri ya kutangaza, ambapo tangazo (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; KANUNI YA KUPATA PESA KWA DUNIANYA SASA….

By | March 16, 2017

Hongera rafiki kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa zaidi. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA tunao uhakika wa kufanya makubwa leo na kila siku ya maisha yetu. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu (more…)