Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 813; Usidhani, Hakikisha Mwenyewe….

By | March 23, 2017

Moja ya vitu vinavyochochea uvivu wa watu ni kudhani. Watu wengi hudhani mambo yanaenda vile wanavyofikiri wao, kumbe yako tofauti kabisa, ni mpaka pale wanapopata matokeo tofauti na waliyotaka, ndiyo wanagundua walichodhani siyo. Usidhani kwamba kila mtu amekuelewa kwa kile ulichomwambia, uliza ili uhakikishe mwenyewe. Mara nyingi utakapouliza utagundua watu (more…)

UKURASA WA 812; Jinsi Ya Kuwakaanga Watu Kwa Maneno Yao Wenyewe….

By | March 22, 2017

Hata kama hutawakosea watu kitu chochote, hata kama utakazana kufanya yako, kupambana ili kutimiza ndoto zako, wapo watu ambao watajitolea kukuchukia. Kwa ile dhana tu kwamba wewe kuna makubwa unafanya, ambayo yamewashindwa wao, inatosha kutengeneza wivu na hatimaye kuleta chifu. Hivyo wakati wewe unakazana kufanya yako, wapo watu watakaokua wanakuongelea (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; ANAYEAHIDI KILA KITU….

By | March 22, 2017

Hongera rafiki kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Siku ya leo tunaiendea tunaiendea kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ili tuweze kupata matokeo bora sana. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu ANAYEAHIDI KILA KITU, Huyu, hakuna (more…)

UKURASA WA 811; Upo Muda Wa Kutoa, Lakini Haupo Wa Kurudisha…

By | March 21, 2017

Upo muda wa kutoa neno, wa kuongea kwa namna unavyotaka na unavyojisikia wewe mwenyewe. Lakini unachopaswa kujua kabla ya kufanya hivyo ni kwamba, ukishaongea huwezi kurudisha maneno yako, huwezi kuyafuta. Hata wale wanaoambiwa fura kauli, ni neno tu la kuridhisha lakini kila mtu atakumbuka ulisema nini. Hivyo basi, usiwe mtu (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO ; KUULIZA NI UJANJA….

By | March 21, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki? Ni siku nyingine nzuri sana kwetu ambapo tumepata nafasi ya kipekee kwenda kuweka juhudi kubwa ili kupata matokeo makubwa. Siku hii ya leo twende tukaweke NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ili tuweze kupata matokeo bora sana. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUULIZA NI UJANJA…. Waswahili (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; FIKIRI UNACHOFIKIRI…

By | March 20, 2017

Habari rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ili tuweze kupata matokeo bora sana. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUFIKIRI UNACHOFIKIRI. Kama ipo kazi ngumu sana hapa duniani, basi kazi hiyo ni kufikiri. Kufikiri (more…)

UKURASA WA 810; Kinachowasukuma Watu Kufanya Wanachofanya…

By | March 20, 2017

Nini kinakuamsha asubuhi na mapema ili uwahi kwenye kazi au biashara yako? Au kipi kinakufanya uchelewe kurudi nyumbani au uchelewe kulala kwa kuwa kwenye kazi au biashara yako? Hili ni swali muhimu sana ambalo kwa kuliangalia kwa undani utaona nani anaweza kufanya makubwa na hata kufanikiwa. Ipo misukumo mbalimbali inayowafanya (more…)

UKURASA WA 809; Kama Huna Muda Sasa, Hutakuwa Na Muda Baadaye…

By | March 19, 2017

Kisingizio cha sina muda kimekuwa kinatumika na watu ambao hawapo tayari kuchukua hatua kwa wakati ambao wanao. Wanaona siku zijazo watakuwa na muda mwingi zaidi wa kufanya kile wanachotaka kufanya. Lakini muda huwa hauendi hivyo, kama huna muda sasa, hutakuwa na muda baadaye pia. Kwa sababu hakuna muda zaidi unaopatikana, (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; UNA NINI HAPO ULIPO?

By | March 19, 2017

Hongera rafiki kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana na kuweza kufikia ndoto zetu. Asubuhi ya leo tutafakari UNA NINI HAPO ULIPO SASA? Watu (more…)

Mbinu za kisaikolojia za ustoa; kutengeneza taswira hasi.

By | March 18, 2017

  Ni tabia ya binadamu kuwa na hamu na kuthamini kitu sana kabla ya kukipata, lakini akishakipata thamani yake inashuka. Ukichukulia watu wanaoshinda bahati nasibu, siku za kwanza wanakuwa na furaha lakini haidumu, wanarudi kwenye maisha yao ya kawaida. Pia mtu anaweza kusoma miaka mingi, akafaulu, akaomba kazi akiwa na (more…)