UKURASA WA 806; Nikiwa Tayari Nitakutafuta…
Ni mara ngapi umesikia kauli kama hiyo? Labda ni mteja ulikuwa unamweleza kuhusu bidhaa au huduma ambayo unatoa, umetumia muda wako kumweleza vizuri, na mwisho akakupa kauli hiyo? Au labda ni kazi ulienda kuomba mahali, ukafanyiwa usaili vizuri na kila kitu kikakamilika, lakini mwisho wakakupa kauli hiyo? Au ni mipango (more…)
