UKURASA WA 679; Kipato Kamwe Hakiwezi Kukuletea Utajiri.
Linapokuja swala la fedha, kila mtu anataka kuwa na fedha za kumtosha kuweza kuendesha maisha yake bila ya kuwa na wasiwasi wowote. Kila mtu anataka kuwa na uhuru wa kifedha ambapo ana uhakika wa kupata huduma zote muhimu kwake, hata kama hafanyi kazi moja kwa moja. Kwa kifupi kila mmoja (more…)
