UKURASA WA 685; Usishangazwe Na Jambo Lolote Linalotokea…
Kuna mambo mengi kwenye maisha ambayo yamekuwa yanawashangaza wengi. Yaani jambo linatokea na wewe unabaki mdomo wazi kwa sababu hukutegemea jambo hilo litokee. Mfano wewe ni mwajiriwa na ghafla unafika kazini na kupewa kazi ya kwamba huna kazi tena. Au wewe ni mfanyabiashara na ghafla unashangaa umepata hasara kubwa kwenye (more…)
