#SheriaYaLeo (211/366); Kumshawishi anayetaka kukushawishi.
#SheriaYaLeo (211/366); Kumshawishi anayetaka kukushawishi. Kuna wakati unajikuta kwenye hali ambapo unahitaji kumshawishi mtu ambaye na yeye pia anataka kukushawishi. Hapo unapaswa kutumia mbinu ya kumwonyesha kitu au tabia ya kutaka kushawishika naye. Yaani unamrahisishia zoezi lake la kukushawishi wewe, kitu ambacho kinakuwa rahisi kwako kumshawishi yeye pia. Unapomnasa mtu (more…)
