2030; Unachokasirikia Kinachekesha…
Mambo mengi yanayokukasirisha kwenye maisha, hayana maana kabisa. Hivyo hasira unazojipa ni kupoteza muda na nguvu zako kwa hisia ambazo hazina manufaa. Chukua mfano unapita njiani, ukakutana na mbwa ambaye baada ya kukuona akaanza kubweka. Je utamkasirikia mbwa huyo? Utasema kwa nini akuone wewe na aanze kubweka? Kama utafanya hivyo, (more…)
