1730; Siyo Fedha Wala Muda, Bali Kipaumbele…
Sina fedha ya kumudu kitu hicho na sina muda wa kufanya kitu hicho ni visingizio viwili ambavyo karibu kila mtu amekuwa anavitumia kwenye baadhi ya mambo anayofanya. Tumekuwa tunaona kama hivi ndiyo vikwazo kwetu kupiga hatua zaidi kwenye maisha, kwamba kama tusingekuwa na ukomo wa fedha au muda, basi tungeweza (more…)
