#SheriaYaLeo (71/366); Weka umakini mkubwa.
#SheriaYaLeo (71/366); Weka umakini mkubwa. Ili kufikia ubobezi wa hali ya juu, unapaswa kuweka umakini mkubwa sana kwenye chochote kile unachoamua kufanya. Usifanye tu kwa juu juu au kwa mazoea, badala yake fanya kwa kina kabisa. Jua undani wa kile unachokifanya na kifanye kwa namna ya tofauti na ya kipekee (more…)
