1912; Umejiunga Kwenye Foleni Ipi?
Upo kwenye sherehe na wakati wa kupata chakula umefika. Kuna sehemu mbili za kuchukua chakula, sehemu moja ina vyakula vya kawaida ambavyo kila mtu anavipenda na sehemu nyingine ina vyakula vya kipekee ambavyo wewe ndiyo unavitaka. Uko na marafiki zako kwenye sherehe hiyo, mnaongea mengi na mna wakati mzuri. Sasa (more…)
